MONSTER NELS07 RADIO ni radio ya mtandaoni inayokuletea burudani, muziki na vipindi mbalimbali kutoka Tanzania. Tunacheza Bongo Flava, Hip Hop, Afrobeat, Amapiano, Love Songs, Gospel na muziki wa zamani.
Lengo letu ni kuleta muziki mzuri, burudani na sauti za vijana kwa wasikilizaji popote duniani.
🎙️ MONSTER NELS07 RADIO
🎵 Muziki • Burudani • Vipindi
🌍 Kutoka Tanzania kwenda dunia nzima